kubainisha kupya kutoka kwa Al'Imam Al'Mahdi kumjibu daktari Abdilillah Aladhrai imenukuliwa kwa njia ya ansari Abdul Jabar Muhammad:
تبيان جديد من الإمام المهدي ردا على الدكتور عبدالاله الاضرعي منقول عن طريق الأنصاري عبدالجبار محمد :
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=331980


اقتباس المشاركة :
Suali: Asalam Alekom wa Rahmatullah wa Barakatuhu Wa Adhim Naiim Ridhwanuhu, Niko na suali na nataraji aulizwe Al'Imam mwenyewe nalo ni: Je anakusudia Al'Imam Ju yake Sala na Salam
1. Kwamba kuna mbu mdogo anahamisha virusi ya corona kama mfano ya baadhi ya maradhi ambazo zatembea kwa njia ya mbu ( homa ya dengue na malarya na nyenginezo katika maradhi ya ki virusi na bacteria Na vimelea)?


2. Ama kua virusi ya corona ni mbu yenyewe?
_________

انتهى الاقتباس
Jibu :


Walekom Asalam Wa Rahmatullah Wa Barakatuhu Wa Naiim Ridhwanuhu Mpendwa Wangu Kwa Allah Daktari Abdililah, Ewe mpendwa wangu kwa Allah ju yenu yatakiwa mujuwe kwamba hakika ya mfano mkuu ambao umeahidiwa katika kitabu ni mfano wa kumba mbu fulani amelekezwa na ametayarishwa kutoka kwa Allah ili awe tayari kiyasi ya changamoto kwa idhini ya Allah, Basi wapige vita va kiulimwengu ishara kutoka kwa Allah, Kiasi ya kwamba wana sayansi wa tiba wataenda kupata kutokana na hila yake yale walikua hawakuhisabu, Nayo ni kama kwamba ameumba kwa mtu ili ajuwe viungo vake vote, Na wataona ajabu ya maajabu na itawapa funzo katika tiba, Kwakua inapokea amri kwa anacho fanya kwa Alie Mumba Mtu Allah Mola Mlezi wa Ulimwengu Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Asijue aliye umba, naye ndiye Mjua siri, Mwenye khabari(14)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].
{أَلَا يَعْلَمُ مَنْ خَلَقَ وَهُوَ اللَّطِيفُ الْخَبِيرُ‌ 14}
[الملك]. صدق الله العظيم،


Na Ewe Mpendwa wangu kwa Allah Juweni kwa ilimu ya yakini hakika mimi hapana wala sito tangaza kitu na tuko nayo ufafanuzi kutoka kwa Al'Quran Al3adhim kwa idhini kutoka kwa Allah na kila kitu kwa wakati wake, Basi Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni, Kwakua nazo huwenda isikubali akili zenu mwanzo wa jambo kwakua akili ni aduwi kwa yale hayajuwi kwa upande wa ilimu ya kisayansi, Na ile inao fanyika sasa haswa hawajaifikia ki ilimu kuijuwa bali mbu mpya kwa aina zake zote ishara ya kutoboa, Changamoto kutoka kwa Allah kwa Maneno Yake ambao hayana mipaka kwa kudra ya umbaje Wake Ametakasika Anaongeza katika viumbe vake vile Anavo Taka, Nakhufia kufitinika kwa baadhi ya ma ansar kwakua wengi wao wata tegemea habari za tiba kwa matabibu wa binadamu mwanzo wa jambo lakini tokeo bado liko inje ya ilimu yao na bado wanazali wanatafuta kuhusu chanzo cha hi virusi ya kutoboa kwa yale wanao jua kutokana na fiziki ya kitabibu, Basi mara moja akiwambia daktari katika ma daktari wadogo tu hi sio kweli kwa upande wa ki sayansi huwenda akafitini baadhi ya ma ansar, Lakini changamoto inatoboa ilimu hata wale walio wataalamu katika ilimu ya ma virusi bado linazali jambo kwao linashangaza basi kila kitu kwa wakati wake na twazungumza na watu kiasi cha akili yao, Na wala siogopi ju ya watu ispo kua ma ansar bali uwoga ju ya ma ansar, Ama wanao fanya istihizai basi itabainika kwa ulimwengu kua ni haki, Basi subra ni mzuri na mufikishe yale tulio andika bila kuzidisha neno moja kutoka kwa nafsi zenu na salam ju ya Mitume na Alhamdulillah Rabil3alamin.


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
اخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
____________